top of page
Huduma zetu.
Ndugu mteja,karibu sana tukuhudumie.Huduma zetu ni kama zfuatazo:
-
Tunapokea oda za kutengeneza nguo mikoa yote Tanzania
-
Kwa wateja wa mikoa yote Tanzania utaletewa bidhaa popote ulipo kwa makubaliano.
-
Discount/punguzo la bei ndio jadi yetu kwakuwa tunakujali
-
-
Tunakukaribisha mteja wetu ututembelee katika ofisi zetu DAR ES SALAAM, na TANGA
-
Kuhusu Bidhaa Zetu
FURAHIA BIDHAA ZETU NZURI,IMARA ZENYE KUKIDHI VIWANGO VYA UBORA
Tunatengeneza aina mbalimbali za mvazi kuendana na hughuli mbalimbali kama vile:
-
Nguo za harusi
-
Kitchen party
-
Send off
-
Birthday Party na nyingine kadha wa kadha
Tunapokea oda kwa wakati
AWahi kuweka od yako mapema zaidi ili uwahi kupata bidhaa yako mapema zaidi pia.....
bottom of page