top of page
![](https://static.wixstatic.com/media/3cd6c3_0fcbe31141c7471d8736c35c4907f8cc.jpg/v1/fill/w_108,h_108,al_c,q_80,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/3cd6c3_0fcbe31141c7471d8736c35c4907f8cc.jpg)
![](https://static.wixstatic.com/media/3cd6c3_0fcbe31141c7471d8736c35c4907f8cc.jpg/v1/fill/w_108,h_108,al_c,q_80,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/3cd6c3_0fcbe31141c7471d8736c35c4907f8cc.jpg)
![](https://static.wixstatic.com/media/1731b3_d576a3da470d41cc8251b841b3e851fa.png/v1/fill/w_108,h_108,al_c,lg_1,q_85,enc_avif,quality_auto/1731b3_d576a3da470d41cc8251b841b3e851fa.png)
Enjimaasai Fashion
Mitindo yetu imebuniwa nchini Tanzania na inakidhi viwango vya ubora
Tunashona mitindo mbalimbali ya nguo kwa mali ghafi safi za kiafrika kama vitenge,shifoni pamoja na katani...........
Hapa utapata mitindo mbalimbali ya mavazi unayoweza kuvaa katika shughuli mbalimbali za kijamii kama kitchen party,harusi,Club pamoja na nguo za kiofisi.
Mitindo ya wanawake na Wanaume..........
Tazama mitindo mbalimbali ya wanawake na wanaume hapa....its all about fashion fashion
wasiliana nasi kwa namba zetu 0654700661 ili tuweze kukuhudumia upate mzigo wako chap chapa..........
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPO JUU..,PIA TUFOLLOW INSTAGRAM NA TWITTER ILI UFAIDI ZAIDI UBUNIFU WETU
1/7
Asante Kwa Kututembelea
bottom of page